Ben Pol aingia mkataba na kampuni ya Panamusiq Ltd.

Msanii wa rnb Ben Pol ametia wino kwenye mkataba wa usimamizi na kampuni ya Panamusiq Ltd. Mkataba huu utasimamia kazi zote za Ben Pol na ku...
Read More

Tyga alichofanya kwaajili ya mpenzi wa Kylie Jenner.

Rapa Tyga anazidi kuonyesha kuwa hana mpango wa kurudiana na mama mtoto wake Blac Chyna baada ya kuondoa tattoo zake na kuandika jina la K...
Read More

News:Staa mwingine atakaye kuwa kwenye kona ya Floyd Mayweather.

Pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao linazidi kutawala vichwa vya habari, mastaa kama Rick Ross , 50 Cent wamesha tembelea gym an...
Read More

Isikie hii kauli ya mashabiki wa Arsenal kwa nahodha wao wa zamani Cesc Fabregas!!

Vinara wa ligi kuu Engaland wanakutana na wababe wengine wa ligi hiyo Arsenal mwishoni mwa juma hili katika uwanja wa Emirates  ikiwa ni ha...
Read More

Mrembo wa bongo muvie Esha ajipanga Kumuomba Radhi Cloud

Staa mrembo  wa Bongo Movies, Esha Buheti amesema anajipanga kumtafuta staa mwenzake Issa Musa ‘Cloud’ ili amuombe msamaha akiamini bila k...
Read More

Picha;Louis van Gaal apewa orodha ya wachezaji wa kusajili na kuuza na shabiki wa Man Untd.

Manager wa Manchester United Louis van Gaal amepewa ruhusa ya kumsajili Gareth Bale baada ya shabiki kumpa orodha ya wachezaji wa kusajili...
Read More

Madee atimiza ahadi aliyoweka ifikapo siku yake ya Kuzaliwa mwaka huu

Madee anasema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake Kimara na leo anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi ...
Read More

Sababu ya kuachana kwa Big Sean na Ariana Grande yatajwa

Wanasema marafiki wakiwa wapenzi basi ni ngumu kuachana, well Big Sean na Ariana Grande wameachana baada ya miezi nane kwenye mahusiano. W...
Read More

Beyoncé na Jay Z kutoa Album ya pamoja kupitia TIDAL

Miezi michache iliyopita palikuwa na taarifa za Beyoncé na Jay Z kufanya album ya pamoja, kwa mujibu wa DJ Skee, album hii inakaribia kuka...
Read More

NEW AUDIO: Riz Conc ft. Juma Nature – SIDANGANYIKI_Listen/Download

SYLI CLASSIC MTANDAO UNAOKUPA BURUDANI TEMBELEA BLOG YETU UBURUDIKE ZAIDI. DOWNLOAD HAPA
Read More

NEWS | Uandikishaji Wanachama ‘Tanzania Bloggers Network’ (TBN),

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ – TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na cha...
Read More

News_Davido kuhitimu mwezi wa saba

Mwimbaji kutoka Nigeria Davido ameweka wazi via Instagram yake kuwa anakaribia kuhitimu baad aya kurudi shuleni. Davido aliacha shule mwaka...
Read More

Msanii Mpya wa Roc Nation ya Jay Z

Jay Z ametangaza rasmi kumpa dili la kurekodi chini ya Roc Nation rapa Vic Mensa kutoka Chiicago kupitia mtandao wa Tidal. Vic anamiaka 21 ...
Read More

Hong Kong na utata wa uchaguzi

Waandamanaji wanaotaka demokrasia mjini Hong Kong Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo ...
Read More

Picha,Miezi saba baada ya kuachana na Future,Ciara Yupo na huyu sasa

Miezi saba baada ya Ciara kuachana na mpenzi wake ambaye ni msanii Future, imeripotiwa kuwa ameanisha mahusiano na mwanamichezo wa timu ya ...
Read More

Pete anayovaa Nicki Minaj ni kama ya hawa mastaa wa kike duniani.

Rapa Nicki Minaj amekuwa miongoni mwa mastaa wa kike waliovalishwa pete zenye thamani kubwa zaidi duniani. Hivi karibuni Minaj ameonyesha p...
Read More