Mfanyabiashara na mwimbaji
mrembo wa Uganda, Zari the
Boss Lady na Diamond Platnumz
waliingia kwenye headlines
weekend iliyopita baada ya picha
zao wakiwa kwenye faragha
kama wapenzi kuzua maswali
mengi kwenye mitandao ya
kijamii.
Hata Hivyo Zari hakuchukua
muda mrefu na kuamua kutumia
Instagram kufumbua fumbo hilo
kwa kuweka wazi kuwa
ameshirikiana na Diamond katika
wimbo wake mpya.
Zari ameuambia mtandao wa Big
Eye wa Uganda kuwa picha
zilizosambaa ni sehemu ya video
shoot ya wimbo aliofanya na hit
maker wa Number 1.
Wimbo huo unatarajiwa kutoka
December 18 wakati wa party ya
Zari ‘All white Ciroc party’
itakayofanyika kwenye Club
Guvnor nchini Uganda.
Kitu ambacho watu wengi
walikuwa hawafahamu ni kuwa ,
Zari ni muimbaji lakini alikuwa
ameweka pembeni muziki kwa
muda, na sasa ameamua
kurejea.
mrembo wa Uganda, Zari the
Boss Lady na Diamond Platnumz
waliingia kwenye headlines
weekend iliyopita baada ya picha
zao wakiwa kwenye faragha
kama wapenzi kuzua maswali
mengi kwenye mitandao ya
kijamii.
Hata Hivyo Zari hakuchukua
muda mrefu na kuamua kutumia
Instagram kufumbua fumbo hilo
kwa kuweka wazi kuwa
ameshirikiana na Diamond katika
wimbo wake mpya.
Zari ameuambia mtandao wa Big
Eye wa Uganda kuwa picha
zilizosambaa ni sehemu ya video
shoot ya wimbo aliofanya na hit
maker wa Number 1.
Wimbo huo unatarajiwa kutoka
December 18 wakati wa party ya
Zari ‘All white Ciroc party’
itakayofanyika kwenye Club
Guvnor nchini Uganda.
Kitu ambacho watu wengi
walikuwa hawafahamu ni kuwa ,
Zari ni muimbaji lakini alikuwa
ameweka pembeni muziki kwa
muda, na sasa ameamua
kurejea.
Blogger Comment
Facebook Comment