CHIDI BENZ ASOMEWA MASHITAKA,ARUDISHWA RUMANDE

Rapper Chid Benz mchana huu
amesimamishwa kizimbani katika
mahakama ya Kisutu na kusomewa
mashtaka matatu ambayo ni
1. Kukutwa na dawa za kulevya
2. Kusafirisha dawa ya kulevya
3. Kukutwa na vifaa vya kutayarishaji
uvutaji wa madawa
Chidi Benz amerudishwa rumande
hadi Novemba 11 ambapo ataletwa
tena kizimbani.Dhamana itakuwa wazi
kwa masharti ya kuwa na wadhamini
wawili wanaoaminika na pesa taslimu
milioni 1.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment