FAHAMU CHANZO CHA BIFU KATI YA DIAMOND NA ALIKIBA

Kama umefuatilia katika wiki hii
kumekuwa na vuguvugu
kali linaloendelea kati ya
Mahasimu hawa wawili, sasa
wengi wakiwa hawajui
nini chanzo cha Bifu kubwa
linaloendelea kati ya Diamond
Platnumz na Ali Kiba.
Katika hali ya kutaka kujua
ukweli mtangazaji wa kipindi
cha XXL alimtandika swali la
kizushi Ali Kiba kuhusu Bifu
hilo linaloendelea mpaka sasa
huku akitaka kujua chanzo
kikubwa cha yeye na Diamond
na yeye kuhitiliafiana.
Ali aligoma kabisa kuelezea
chanzo cha ugomvi ama bifu
lililo kati yao. Bila ajizi Dj
FETTY aliamua kuweka wazi
chanzo cha vuguvugu hilo. kuwa
katika wimbo wa LALA SALAMA
wa Diamond kulikuwa
kuna mistari ama verse ambazo
alitakiwa kuimba Ali Kiba, lakini
kwa mshangao Diamond
alifuata mistari ambayo Ali Kiba
ilibidi aimbe, na kwa upande wa
pili Alikiba katika wimbo wake
wa Single boy pia kulikuwa kuna
verse ambazo Diamond ilibidi
aimbe lakini Alikiba
akaamua Kumtolea nje na
kumshirikissha Lady Jay dee.
Kwa hiyo hii kati ya sababu
nyingi zinazopelekea Bifu kati
ya wasanii hawa wawili wa
Bongo Fleva.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment