NDOA YA LADY JAY DEE NDIO BASI TENA UTHIBITISHO UPO HAPA

Taarifa za hivi zinaeleza kuwa
Jaydee ameanza kumfuta Gardner
kwenye urithi wa mali mbalimbali ili
baadae wasije kuleteana shida
kwenye mgao.
Chanzo cha ndani kinasema kuwa
tayari Jaydee ameshauza nyumba
moja huko kimara na ula mgahawa
wa Nyumbani Lounge ambao
aliutangaza kuufunga sasa
anaufungua kwa jina la Mog Bar&
Reutsaurant
“Kiukweli ni kwamba hawa
jamaawameachana rasmi ila
hawataki hili lijulikane kwa upande
wa Lady Jaydee ameanza kulihakiki
mali zote walizokuwa wakishea na
Gadner kwa ajili ya kuzipa umiliki
wake,tayari nyumba moja
wameshauza na sasa amekodi upya
ule mgahawa wa Nyumbani Lounge
na utaanza kazi rasmi” chanzo
hicho.
na kwa upande mwingine ladyjaydee
amemtimua kazi rasmi Gadner kama
meneja wake na sasa kazi zote
zinasimamiwa na Rapa Wakazi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment