HEMED PHD KUAMUA KUTOBOA PUA KAMA WASANII WA MBELE

Msanii wa Rnb na Filamu Tanzania Hemedy Phd anafanya maamuzi mengine magumu kwenye maisha yake baada ya kufunguka kuwa anampango wa kutoboa pua upande mmoja.
Baada ya kumaliza project za watu nilizonazo nitatoboa pua upande wa kulia, ni muonekano ninaotaka sasa, siwezi kufanya muda huu sababu ya kazi za watu, Kutoboa pua sio jambo baya kama limekubalika mbele hata hapa nyumbani litawezekana ” .
Tupac nose
JE MAAMUZI YAKE NI SAHIHI?TOA MAONI YAKO HAPA
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment