Mtandao wa Hits Daily Double umeripoti kuwa rapa Kanye West amesitisha mkataba wake na lebel ya Jay Z ya Roc Nation.
Kanye West amekuwa akisimamiwa yeye na kazi zake na Roc Nation ambayo ni lebel ya rapa/ rafiki yake Jay Z, Kanye West pia ametayarisha album mpya ya Rihanna RPATA HABARI ZA WASANII ZA NDANI NA NJE YA NCHI HAPA SYLI CLASSIC BLOG
Blogger Comment
Facebook Comment