Video ya Diamond Platnumz na Nay Wa Mitego wakitetea,kipi bora Pesa au Mapenzi

Kuelekea kutoka kwa wimbo wao mpya wa Mapenzi na Pesa kipi bora zaidi kwa kizazi hiki, hii ni stori ya Diamond akitetea upande wake wa Mapenzi na Nay wa Mitego akitetea upande wa pesa.
Diamond aliandika ujumbe huu “Jamani wadau Wangu #TeamMapenzi Huu ni mfano mzuri… Haya nyie kina @naytrueboy #TeamPesa Bado Mnabisha tu????? #MapenziAuPesa
Na Nay wa Mitego kwa upande wake aliandika hivi ” Jamani #TeamPesa hawa #TeamMapenzi wanaikumbuka hii story ya huyu bidada!? Wanasemaje sasa??? bado Wanaleta ubishi tu Kuwa Mapenzi #kupetipeti sio #Pesa?!
#MapenziAuPesa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment