Bondia Floyd Mayweather siye mtu peke aliyepata pesa nyingi kupitia pambano lake,wasanii maarufu kama 50 Cent,Puff Daddy na Davido wa Nigeria waliweka pesa nyingi kwenye upande wa Mayweather.
50 Cent ambae ni rafiki wa Floyd Mayweather aliweka kiasi cha dola milioni 1.4 na kashinda kwasababu aliweka upande wa The Money Team. Davido kutoka Nigeria aliweka dola 20,ooo kwa upande wa Floyd Mayweather rapa P Diddy aliweka dola 250,000.

Blogger Comment
Facebook Comment