Wapenzi walioweka rekodi ya kuachana na kurudiana mara nyingi zaidi Chris Brown na Rihanna wameanza kuonekana pamoja sehemu tofauti za starehe.
Wawili hawa wameonekana kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rapa Travi$ Scott ya miaka 23 pamoja na mastaa wengine kama Kanye West na Die Antwoord.

PATA BURUDANI NA HABARI ZA NDANI NA NJE HAPA SYLI CLASSIC BLOG
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment
Facebook Comment