Official Video HD:RUBY-NA YULE

Video ya msanii mpya wa bongo fleva Ruby ‘Na Yule’ imetoka May 15 2015. Wimbo umetayarishwa na Tudd Thomas [Surround Studios] na Video imetayarishwa na muongozaji maarufu Afrika Mashariki Kevin Bosco Jnr.

Bonyeza play kuitazama na nipe mtazamo wako hapo chini ukiweza.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment