Baada ya Omarion na rapa Busta Rhymes kujitoa Cash Money records, Jumamosi ya May 9 2015 rapa/mtangazaji/ mwigizaji Bow Wow ametumia kurasa yake ya facebook kufahamisha mashabiki kuwa amejitoa rasmi Cash Money baada ya miaka mitano na lebel hio na kutoa album moja tu ambayo ni ‘Underrated’. Bow wow amerudi kufanya kazi na waliomtoa kwenye muziki ambao ni Jermain Dupri na Snoop Dogg.Angalia video ya Bow Wow akielezea sababu za kujitoa hapo chini
Home / INTERNATIONAL1 /
NEWS /
VIDEOS
/ Je unawajua wasanii watatu waliojitoa Cash Money ndani ya miezi sita? Soma hapa
Blogger Comment
Facebook Comment