New Audio:Yombo man Ft Maua-Niwe wange

Yombo man ni kijana anayeimba muziki wa asili kutoka bukoba na sasa kadhihirisha kipaji chake kwa kutoa kolabo na mkongwe wa nyimbo za asili aliye tamba na track ya 'AKATAMBALA KELAKI(LAZIMA OKAJWALE) Aliyefahamika kwa jina la MAUA.Enjoy track ya YOMBO MAN KWA KUISIKILIZA NA KUIDOWNLOAD HAPO CHINI
http://k003.kiwi6.com/hotlink/3qjjezn2yo/yombo_man_ft_maua_-_niwe_wange.mp3

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment