Baada ya TIDAL ya Jay Z kupondwa, Amesema haya kuhusu maendeleo yake

Jay Z  amejibu tuhuma za kuwa mtandao wake wa muziki TIDAL umeanza kufa. Kupitia twitter yake Jay Z amesema mpaka sasa Tidal ina watu waliojiandikisha 770,000 ndani ya mwezi mmoja tu.
Jay Z pia ameomba watu wampe ushirikiano na muda wao kwani kampuni kubwa kama Itunes haikujengwa siku mmoja.
j 2 

J 4 
 J 5
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment