MSANII BK SANDE KUSHIRIKI TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD

MSANII WETU WA BUKOBA BK SANDE AMECHAGULIWA KUSHIRIKI TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD KATIKA KIPENGERE CHA'WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA'MAELEZO JINSI YA KUPIGA KURA YAPO KWENYE PICHA.TUMPIGIE KURA KWA WINGI TUZO IJE NYUMBANI.ASANTE

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment