Picha;Louis van Gaal apewa orodha ya wachezaji wa kusajili na kuuza na shabiki wa Man Untd.


Manager wa Manchester United Louis van Gaal amepewa ruhusa ya kumsajili Gareth Bale baada ya shabiki kumpa orodha ya wachezaji wa kusajiliwa na klabu hio ambao wata gharinu £300m .
Shabiki Tanveer pia ameomba Radamel Falcao asipewe dili la muda mrefu na kwamba mshambuliaji Robin van Persie auzwe.
Majina aliyopendekeza shabiki huyu ni pamoja na haya




TEMBELEA BLOG HII MARA KWA MARA UBURUDIKE ZAIDI MTU WANGU.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment