Mwimbaji kutoka Nigeria Davido ameweka wazi via Instagram yake kuwa anakaribia kuhitimu baad aya kurudi shuleni. Davido aliacha shule mwaka 2011 ili kufanya muziki na baadae baba yake alimshauri amalize shule kwanza. Davido anategemea kuhitimu shahada ya kwanza June 7 2015
Jiunge nasi Instagram twende sawa
Jiunge nasi Instagram twende sawa
Blogger Comment
Facebook Comment