Miezi michache iliyopita palikuwa na taarifa za Beyoncé na Jay Z kufanya album ya pamoja, kwa mujibu wa DJ Skee, album hii inakaribia kukamilika na itatoka kupitia TIDAL, huduma ya kusikiliza muziki mtandaoni ya Jay Z. service.
Kwa sasa kazi nyingi za Jay Z na mke wake Beyonce zitakuwa zinatoka kupitia Tidal kama video mpya ya Jay Z “Glory” na ya Beyoncé “Die With You” .
SYLI CLASSIC BLOG MTANDAO UNAOKUHABARISHA HABARI ZA NJE NA NDANI YA NCHI UNGANA NAMI INSTAGRAM
Blogger Comment
Facebook Comment