Rapa Tyga anazidi kuonyesha kuwa hana mpango wa kurudiana na mama mtoto wake Blac Chyna baada ya kuondoa tattoo zake na kuandika jina la Kylie Jenner mkononi.
Tyga amefanya hivi ili kuonyesha hana mpango wa kuwa na Blac na kwamba akili yake sasa ipo kwa Kylie. Tyga na Blac Chyna wanamtoto mmoja anaitwa King Cairo.

Blogger Comment
Facebook Comment