Pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao linazidi kutawala vichwa vya habari, mastaa kama Rick Ross , 50 Cent wamesha tembelea gym anayofanyia mazoezi Flody na sasa Mariah Carey pia alikuwa na Floyd kwenye gym.
Carey amekuwa shabiki mkubwa wa Mayweather na pambano la mwisho kuhudhuria lilikuwa pambano la Floyd na Shane Mosley mwaka 2010.
Blogger Comment
Facebook Comment