Madee anasema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake Kimara na leo anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi mpya ya Dogo Janja iliyotakiwa kutoka tar23 April 2014 Madee amesema Msiba wa Abdu Bonge ulibadilisha ratiba nyingi ndio maana hawajakamilisha kazi za Dogo Janja.
USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM
USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM
Blogger Comment
Facebook Comment