Mrembo wa bongo muvie Esha ajipanga Kumuomba Radhi Cloud

Staa mrembo  wa Bongo Movies, Esha Buheti amesema anajipanga kumtafuta staa mwenzake Issa Musa ‘Cloud’ ili amuombe msamaha akiamini bila kufanya hivyo mambo hayawezi kumnyookea.
Esha alisema yeye na Cloud ni kama mtu na kaka yake lakini kwa hali ilivyo inaonekana kama msanii mwenzake huyo ana kinyongo naye hivyo atakwenda kumuomba radhi ili tofauti zao ziondoke.
“Yaani nimekaa na kuona ipo haja ya mimi kumtafuta na kumuangukia Cloud ili kama kuna kitu nilimkwaza anisamehe kwani naona kama mambo hayaniendei vizuri,” alisema Esha huku akidai anajua kinachomfanya Cloud ‘ammaindi’ ni kitendo cha yeye kutangaza kujitoa Bongo Movie
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment