Jay Z ametangaza rasmi kumpa dili la kurekodi chini ya Roc Nation rapa Vic Mensa kutoka Chiicago kupitia mtandao wa Tidal. Vic anamiaka 21 na mpaka sasa amefanya mixtape zake mwenye na anawimbo mpya “U Mad” aliofanya na Kanye West.
Jiunge Nasi
Instagram
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment
Facebook Comment